UGONJWA wa Pingili

UGONJWA WA PINGILI-MAUMIVU KATIKA SEHEMU MBALIMBALI...
⏩Tatizo hili husababisha maumivu makali ya mguu, mgongo, bega au Mkono.
⏩Maumivu haya huwa ni makali mno, katika mazingira mengine huja na kutoweka, katika mazingira mengine maumivu haya huwa endelevu.
⏩ Wengi tumeshawahi kusikia au kuona ndugu, rafiki, jamaa, jirani fulani akiumwa mguu, mkono, bega au mgongo tena kwa maumivu makali sana.
⏩Wengi wamehangaika hospitali nyingi bila mafanikio,maombezi,waganga bila mafanikio.Wengine wamepooza kabisa miguu na kupoteza pesa nyingi...

Ebu tuangalie kidogo kuhusu UTI wa MGONGO..

MGAWANYIKO WA UTI WA MGONGO NA MATOKEO YA DISCK ZINAPOCHEZA
💥Uti wa mgongo umegawanyika katika aina kuu zipatazo nne (4) za pingili ..Spinal Vertebrae..

⏩Cervical Curve: Hili ni eneo la juu la uti wa mgongo, Eneo hili linaanzia uti wa mgongo unapokutana na kichwa na kuishia eneo la mwisho la Shingo, kwa lugha nyepesi ndilo eneo linalomiliki shingo, pingili zilizopo katika eneo hili zinaitwa *Cervical Vertebrae*
👉🏿Maeneo yanayoathiriwa na Disc kucheza katika eneo hili Cervical Disc Herniation  ni Mikono au Mabega au kifua, moja wapo ya viungo hivi hupata maumivu makali sana.

⏩Thoracic Curve: Hili ni eneo la uti wa mgongo linalofuatia kuelekea chini likianzia inapoishia Shingo, Eneo hili linaishia katikati ya mgongo, kwa lugha nyepesi eneo hili ndilo linalokamilisha mbavu. Pingili zinazopatikana katika eneo hili zinaitwa *Thoracic Vertebrae*
👉🏿Kucheza kwa disck katika eneo hili kutakusababishia maumivu makali ya Mgongo eneo la juu ya Kiuno.

⏩Lumbar Curve: Eneo hili linaanzia inapoishia Thoracic Curve na kuelekea chini na kukutana na Eneo linaloitwa Sacral Curve au eneo la kiuno linapoanzia. Eneo la Lumba linazungukwa na ma matumbo na vitu vingine yasiyokuwa na mifupa. Pingili za uti wa mgongo zinazopatikana katika eneo hili zinaitwa *Lumbar Vertebrae*
👉🏿Ikiwa Disc zitacheza katika eneo hili mhusika atapata maumivu makali ya mguu maumivu ambayo ya ukumba mguuu wote kuanzia sehemu ya ndani ya na kushuka chini mpaka mwisho wa mguu kwenye kisigino.

⏩Sacral Curve: Eneo hili linaanzia pale Lumbar Curve inapoishia hadi mwisho wa uti wa mgongo kwa chini. Katika lugha rahisi eneo hili ndilo linalomiliki kiuno. Pingili zinazopatikana katika eneo hili zinaitwa *Sacral Vertebrae*

SABABU ZA KUTOKEA KWA MATATIZO HAYA...
· 👉🏿Ajali ya Gari, kupata ajali huweza leta hitilafu katika viungo..
· 👉🏿Kuanguka, kwa namna yoyote ile...
· 👉🏿Kupigwa/kupigana, kunaweza kuwa na athari mbaya..
· 👉🏿Michezo, mchezo inaweza kusababishwa mtu kuumizwa pingili..
· 👉🏿Ajali katika sehemu za kazi, kuangukiwa na vitu vizito..
·👉🏿 Kasoro wakati wa kuzaliwa, watu wengine huzaliwa na kasoro...
·👉🏿 Kubeba vitu vizito, jiadhari na kunyenyua vitu vinavyo kuzidi uwezo wako...
· 👉🏿Ukaaji mbaya wa muda mrefu, watu wanaokaa mda mrefu, wanaosafiri mda mrefu huweza kupata shida...ii
· 👉🏿Misukosuku mbali mbali ya mwili huweza kusababisha tatizo ili...

MATIBABU
⏩Tatizo hili linatibika ikiwa mgonjwa atawahi kufanyiwa uchunguzi sahihi na tatizo hilo kugundulika. Kuna matibabu ya namna tofauti ambayo daktari anaweza kukupa lakini hali inapokuwa mbaya Madaktari hulazimika kufanya upasuaji.
⏩Mgonjwa anatakiwa kupimwa kwa vipimo sahihi na kipimo kinachoitwa MRI. Kipimo iki kinapatikana Muhimbili na pia kuna madaktari...

NAMNA YA KUJIKINGA NA TATIZO HILI
👉🏿Matunzo mazuri ya ujauzito
👉🏿Kuepuka kipigana au kupigwa, usimpige mwenzako kwasababu unaweza kumsababishia tatizo baadae
👉🏿Kama unaendesha gari ama piki piki kuepuka mwendo unaoweza kukusababishia ajaili
👉🏿Uangalifu katika michezo na mazoezi mazito
👉🏿Kujilinda kiafya ili kujiepusha na maradhi yasiyotambulika
👉🏿Tujiepusha na ukaaji mbaya wa muda mrefu katika sehemu zetu za kazi, pendelea kutafuta maelekezo jinsi ya kukaa katika sehemu yako ya kazi.
👉🏿Pendelea kuangalia afya mara kwa mara na kupata ushauri wa madaktari.

TUNAKUSAIDIAJE??
👉🏿Kwa wewe mwenye shida ya Pingili na Maumivu ya Viungo kabla hujafikia hatua ya kufanyiwa Upasuaji(Operation)...tunaweza kukusaidia kupitia bidhaa zetu zenye ubora wa kimataifa, wa kubalance mfumo wako wa mwili na kukufanya kila kitu kiwe mahali pake...
👉🏿Bidhaa izi ni mchanganyiko maalumu usio na kemikali wa matunda,mbogamboga,mimea ,protini,madini,vitamini na vitu vingine Vingi..
👉🏿Bidhaa izi zinauwezo mkubwa wa kuziwezesha seli zako za mwili ziwe imara kiasi cha kukulinda dhidi ya uharibifu wa aina yoyote na ivo kukufanya uwe mwenye nguvu zaidi..
⏩Kwa Mwenye shida ii ya afya utatumia Restolyf,Choleduz na C24/7...na afya yako itakua salama....
'Njoo inbox kama unahitaji tiba

Comments

Popular posts from this blog

KUJIFUNGUA KWA OPERATION

FAIDA YA KAROTI MWILINI