KUJIFUNGUA KWA OPERATION
KUJIFUNGUA KWA OPERATION KARIBU sana ndugu msomaji wangu wa Afya muhimu Blog. Leo nakuletea makala inayo husu kujifungua kwa operation. Siku hizi hasa kwa hapa taTanzan kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake wengi kujifungua kwa njia ya operation na imekuwa kawaida kabisa kuliko hata kwa njia ya kawaida Katika makala hii utapata kujifunza kuhusu - Sababu za kujifungua kwa operation - Madhara ya kujifungua kwa operation - Njia za kuepuka kujifungua kwa operation. Sasa soma hapa kwa makini. SABABU ZA KUJIFUNGUA KWA OPERATION Kuna sababu mbalimbali za kujifungua kwa operation ila zifuatazo ni kuu katika sababu hizo. 1. NJIA KUWA NDOGO. Hii kwa akina mama wengi huwapata hasa kwa wale wenye maumbo madogo au wanawake wanene ambapo njia inakuwa ndogo kutokana na mafuta mengi mwilini na kupelekea kuuba...