KUTOKWA NA HARUFU MBAYA UKENI
TIBA YA KUTOA HARUFU MBAYA UKENI.
Kwa ujumla inaweza kuwa Jasho au Harufu mbaya tu ya mwili lakini ile harufu kali ya wanawake kama shombo ya samaki sio kitu cha kawaida lazima uchukue hatua.
Harufu hii huwa kero sana hasa kwa wanamahusiano na wanandoa mpaka wengine inapelekea kuwa na ndoa isyiyokuwa na tendo la ndoa #sexless_marriage. Harufu hii inatokea ukeni hasa wakati na baada ya kufanya tendo la ndoa na wengine wakati wa siku za hedhi na baada ya siku za hedhi. Kawaida kila mwanamke hujua harufu ya uke wake katika siku za kawaida, na harufu mbaya mfano kama shombo ya samaki ni dalili ya kwamba si shwari – Ushauri wa haraka ni kumuona dakatari. Mambo mawili yanaweza kuwa ndio huwa yanajitokeza.
1- Kwanza ni uchafu mweupe au wa njano unatokea mara kwa mara wakati wa tendo la ndoa au wakati wowote bila tendo la ndoa, unaweza kuwa na harufu au ukawa hauna harufu.
2- Pili ni harufu mbaya kama “shombo ya samaki” amabyo huweza kutokea wakati wa tendo la ndoa au wakati wowote ule.
SABABU NI NINI?
ZAMA NDANI HAPA. Uke ni kiungo muhumi sana katika mwili wa mwanamke, uke unahitaji kupumua na pia kuingiza hewa safi, Uke unahitaji kuwa na usawa mzuri wa uchachu na uchungu (alkaline and acidity)
1- Sababu kubwa ya uchafu na harufu mbaye ukeni ni uharibifu wa uchachu ukeni (PH), kuotea kwa bakteria na fangasi
2- Kukosekana kwa hewa safi ya oxgeni ukeni, uchafu na uzembe. Bacteria na wadudu wengine wabaya huzaliana vizuri ikiwa uke hautapata oxgeni ya kutosha.
3- Magonjwa, hasa ya zinaa nay ale yatokanayo na jamii ya bacteria na fangasi au utando pia ni chanzo cha harufu mbaya ukeni
4- Upungufu wa kinga ya mwili na uharibufu wa homoni pia ni tatizo.
SULUHISHO
Hapa naomba watu kuzingatia jambo moja sio unatumia siku moja tu unaacha, maada unahali hiyo inaweza kuchukua muda mrefu kupona lazima ujibidiishe.
#1: VAA NGUO ZA NDANI ZA PAMBA NA ZISIZOBANA –
Nguo za ndani ni vizuri ukavaa za pamba na zenye kuwa safi kabisa, kuvaa chupi angalau 2 katika masaa24 ni muhimu sana. Nguo za pamba huruhusi hewa kutoka na kuingia kirahisi.
#2: CHAGUA PEDI ZILIZOTENGENEZWA KWA PAMBA NA ZENYE KUUNDA OXGENI –
Hili tumeliongelea sana ndugu zangu, pedi nyingi zimetengenezwa kwa malighafi ambazo ni masalia ya takataka na maboksi , hazina uwezo wa kuunda oxgeni ambayo ni muhimu kwa ajili ya kuuwa wadudu waharibifu ukeni na wanaosababisha harufi mbaya. Zingine zina madini mabaya yanayo haribu mfumo wa uzazi na pia kuharibu PH ya uke. Pedi bora mpaka sasa ni NEPLILY
#3: ACHA KULA WANGA NA VYAKULA VYA SUKARI –
Tumeshaongea sana kuhusu hili, vyakula vya wanga na sukari, chips soda pia pombe ni hatari kabisa kwa uke wako, lazima unuke. Achana na vyakula hivi kama tayari umeanza kuhisi mambo si shwari maeneo yako.
#4: MWANAUME ASIYETAHIRIWA NI SHIDA –
Mara nyingi mwanaume asiyetahiriwa huwa na uchafu katika ule mfuko wa kichwa cha uume, uchafu huu unaweza bakia ukeni na kuwa sehemu ya kutengeneza bacteria na fangasi na hatimaye kuanza kutoa harufu mbaya.
#5: BAADA YA HAJA KUBWA JISAFISHE KWA KUFUTA KUANZIA MBELE KURUDI NYUMA –
hii ni kwa sababu kama utajifasisha kwa kuja mbele kuna uwezekano wa uchafu (mavi) kuingia ukeni na kuanza kutengeneza wadudu waharibifu ambao watazaliana haraka sana na kuanza kuharibu PH ya uke na kutoa harufu mbaya.
#6: KUNYOA NI USAFI LAKINI USINYEO UPARA –
Unajua nini? Unyoaji wa upara ukeni unasababisha vimelea kutengeneza vipele na kushindwa kupumua na hivyo kuanzisha makazi ya wadudu wabaya.
#7: MTINDI –
Kunywa mtindi karibu kila siku, unaweza pia kujisafisha kwa kutumia mtindi ukeni. Mtindi unabakteria wazuri ambao wanaweza kurudisha PH ya uke vizuri.
#8: MAJI SAFI –
Maji ni dawa kubwa sana katika kusafisha mwili na sumu zilizojaa mwilini,kunywa maji zaidi ya lita 3 kwa siku au glasi 8. Safisha uke na maji ya kawaida kabisa. Oga mara kwa mara, hakikisa uke umekauka vizuri ndio uvae nguo za ndani.
#9: HEWA SAFI –
Achia uke upate hewa, hasa mida ya usiku ukilala.
#10: ONANA NA DAKTARI –
Mara nyingi uchafu na harufu mbaya ni dalili ya ugonjwa flani wa bacteria na fangasi, inaweza pia kuwa ni ugonjwa wa zinaa, kutoka kwa mwanaume au wewe mwenyewe. Haya yote huwezi yajua kama hutaonana na daktari.

Comments
Post a Comment