SABABU ZA KUPUNGUA KWA NGUVU ZA KIUME
SABABU ZA KUPUNGUA KWA NGUVU ZA KIUME
Katika Makala yangu ya vyakula vinavyotibu nguvu za kiume watu wengi walikuwa wakinipigia simu wakisema “mimi sina tatzo la nguvu za kiume ila nawahi kufika kileleni” wengine wakisema “ mimi niko sawasawa ila tu nakosa hamu ya tendo la ndoa” nk
Ukweli wa mambo ni kwamba
1) Kama unakosa ham ya tendo la ndoa, una tatzo la kuishiwa nguvu za kiume .
Kama uume hausimami barabara , una upungufu wa nguvu za kiume
2) Kama uume unasimama na kulegea kwa mda mfupi au kwa mwanamke flani unafanya nae sawasawa ila kwa mwingine mambo hayaendi sawa, baas una tatzo la nguvu za kiume.
3) Kama uume wako hulegea tu muda mfupi baada ya kuingia ukeni, una tatzo la kuishiwa na nguvu za kiume
4) Kama unaskia maumivu wakat wa tendon a wakat uume ukisimama una tatzo na nguvu za kiume
Kama unashindwa kutoa mbegu (shahawa) una tatzo la nguvu za kiume
5) Kama unashindwa kurudia tendo mara ya pili una tatzo kubwa la nguvu za kiume
Iwapo una matatzo yanakutokea jua kabsa una tatzo la NGUVU ZA KIUME sasa ni muda muafaka wa kuanza kutafta matibabu sahihi bila kuchelewa na unapoanza kujitibu ni vzuri zaid kabla mambo hayajawa mabaya zaid unakuwa unajitengenezea mazingira ya kupona lakini chelewa chelewa ….utakuta mwana si wako
SABABU ZA KUPUNGUA KWA NGUV ZA KIUME
Kuna sababu za kimwili na sababu za kisaikologia
1) Viagra
2) Punyeto
3) Maradhi ya mishipa ya
damu
4) Shinikizo la dam la
kupanda na kushuka
5) Unene mkubwa na
kitambi
6) Kisukari
Maradhi ya moyo
Sigara, pombe na
7) madawa ya kulevya
Kuendesha magar
makubwa kwa mda mrefu
8) Lishe mbovu, mfumo
mbaya wa maisha, umri,
9) majeraha na vidonda vya
tumbo
Msongo wa mawazo na
vidonda vya tumbo
10) Ngiri na maradhi ya
zinaa
MATIBABU
Hakika mpaka sasa unaweza kujijua tatzo lako limetokana na nin ili uweze kufanya maamuzi sahihi kuhusu afya yako.
Lakin kwanza, mchakato wako wa kutafta matibabu upitie njia zifuatazo
Salimu amri kuwa una tatzo na usijione huna tatzo kumbe una tatzo litakuwa kubwa zaid utajilaumu bdae
Thamini afya yako ya mwili na akili
Vijue vyanzo vya tatzo lako maana ukishajua chanzo umepiga hatua kubwa katika matibabu
Jadili na mke wako au mwenza wako, kuna baadhi ya wanaume wengi mno wanaogopa kutafta ufumbuzi wa tatzo hilo wakiona ni unyonge mkubwa sana na wengine huona aibu kabisa kwa wake zao matokeo yake tatzo huwa kubwa na baadae kuwa shida kutibika
JITIBU KIASILI KWA DAWA BORA KABISA INAITWA LIVEN ALKALINE COFFEE NA COMPLETE PHOTO ENERGIZER
Kuishiwa nguvu za kiume sio ugonjwa bali ni dalili za ugonjwa na ndo maana kabla hatujakupa tiba lazima tujue kwanza chanzo cha tatzo lako hasa na kama tatzo lako ni tata tutakushauri pia cha kufanya.
Comments
Post a Comment